Washikadau Wahakikishia Watahiniwa Usalama Wao Wakati Wa Mtihani Huku Mitinani Ya Kitaifa Katika Shule Za Msingi Na Ule Wa Gredi Ya Sita Iking’oa Nanga, Washikadau Wa Usalama Na Elimu Magatuzini Wamewahakikishia Watihiniwa Na Wasimamizi Wa Mitihani Hiyo Uslama, Huku Wakitoa Wito Kwa Wanafunzi Kutojihusisha Na Udanganyifu Kwenye Mitihani Hiyo.
Add your comment about this publication