dailymotion.com

Friday, January 14th, 2022 11:14 am
Go to the publication text

Wakaazi Wa Mukuru Wameshikilia Kuwa Hawako Tayari Kuhama Baadhi Ya Wakaazi Wa Mukuru Kwa Njenga Wameshikilia Kuwa Hawako Tayari Kuhama Makaazi Yao Kufuatia Kuanguka Kwa Vikingi Vinavyoshikilia Nyayo Za Umeme Eneo La Embakasi. Aidha Baadhi Yao Wameafikia Matakwa Ya Kampuni Ya Kenya Power Na Kuhama Mita 20 Kutoka Eneo Hilo. Na Kama Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Anavyotueleza Zoezi La Kuregesha Stima Inaendelea Kushika Kasi.
Original publication
Repport this link
Automatic translation
English female
 
Speak this post
 

Add your comment about this publication